Habari RFI-Ki

Sikukuu ya Uhuru Tanzania Bara

Sauti 10:06
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaasisi wa Tanzania huru.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaasisi wa Tanzania huru.

Leo katika Habari Rafiki tutatupia jicho sikukuu inayoadhimisha miaka 55 ya uhuru wa Tanzania Bara na kauli mbiu ya siku ya leo mwaka huu ni kupambana na rushwa, ufisadi na kuendeleza uchumi wa Tanzania kwa kupitia maendeleo ya viwanda. Wananchi wanateta na idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale.