Changu Chako, Chako Changu

Wasanii wa Tinga Tinga Wanazungumza Sehemu ya Pili

Sauti 21:06
Michoro ya Tinga Tinga. Imechorwa na Jabili Masoudi, picha ya Daniel Augusta.
Michoro ya Tinga Tinga. Imechorwa na Jabili Masoudi, picha ya Daniel Augusta.

Fuatilia sehemu ya pili ya mazungumzo na wasanii wa michoro aina ya Tinga Tinga wakizungumza kutoka Dar es salaam, nchini Tanzania.