Wimbi la Siasa

Rais Kenyatta adai mataifa ya kigeni yanaingilia siasa za Kenya

Sauti 09:56
Rais Uhuru Kenyatta wakati wa maadhimisho ya 53 ya Jamhuri Desemba 12 2016
Rais Uhuru Kenyatta wakati wa maadhimisho ya 53 ya Jamhuri Desemba 12 2016 myuhurukenyatta/photos

Rais Uhuru Kenyatta amesema mataifa ya kigeni, yanatumia fedha kufadhili mashirika ya kiraia kwa lengo la kuingilia siasa za Uchaguzi Mkuu mwaka 2017. Je, kuna ukweli katika hili ? Victor Abuso amezungumza na Mratibu Mkuu wa Mashirika ya kiraia nchini humo Suba Churchil akiwa jijini Nairobi.