Changu Chako, Chako Changu

Historia na Utamaduni wa Sanaa aina Tingatinga

Sauti 20:46
Kazi ya sanaa ya Sonia Delaunay, moja wa wasanii wa kuchora duniani.
Kazi ya sanaa ya Sonia Delaunay, moja wa wasanii wa kuchora duniani.

Fuatilia historia na utamaduni wa sanaa aina ya Tinga Tinga tokea ilivyoanza mpaka sasa. Wadau, wasomi na familia ya mkongwe huyo wa sanaa za uchoraji kutoka Tanzania wanazungumza.