Gurudumu la Uchumi

Nidhamu ya matumizi ya pesa mwisho wa mwaka,je!watu huzingatia?

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Gurudumu tunaangazia kuelekea sikukuu za mwishoni mwa mwaka,je ni kwa namna gani watu huzingatia matumizi mazuri ya pesa katika manunuzi na matumizi ya mahitaji ya sikukuu?

Miti maarufu kwa mapambo katika sikukuu ya Chrismass
Miti maarufu kwa mapambo katika sikukuu ya Chrismass
Vipindi vingine