Afrika Ya Mashariki
Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda
Imechapishwa:
Cheza - 09:37
Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.