Habari RFI-Ki

Wabunge wanawake Kenya wabuni mbinu ya kuhamasisha wanaume kujiandikisha katika daftari la kupiga kura

Sauti 09:14
Viongozi wanaounda muungano wa vyama vya upinzani NASA nchini Kenya
Viongozi wanaounda muungano wa vyama vya upinzani NASA nchini Kenya REUTERS/Thomas Mukoya

Wabunge wanawake nchini Kenya wamewataka wanawake nchini humo kuwanyima wanaume tendo la ndoa hadi watakapojiandikisha katika daftari la mpiga kura kujiandaa na uchaguzi mkuu wa raisi hapo baadae mwaka huu...