Changu Chako, Chako Changu
Sanaa aina ya Tingatinga sehemu ya mwisho na muziki wa Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 20:38
Leo tunamalizia kugusia sehemu ya mwisho juu ya historia na utamaduni ya sanaa aina ya Tingatinga kutoka Tanzania. Pia tunaanza kugusia sehemu ya kwanza ya historia na utamaduni wa muziki wa Kitanzania.