Jua Haki Zako

Rushwa ya Ngono

Sauti 08:57
Kampeni ya mapambano dhidi rushwa nchini Burkina Faso.
Kampeni ya mapambano dhidi rushwa nchini Burkina Faso. Renlac

Juma hili tunagusia rushwa ya ngono inayowakumba wanawake barani Afrika hususan nchini Tanzania. Wadau wa haki za binadamu wanazungumza.