Jua Haki Zako

Rushwa ya Ngono Sehemu ya Mwisho

Sauti 08:44
Wanawake kutoka moja za nchi barani Afrika wakijishughulisha.
Wanawake kutoka moja za nchi barani Afrika wakijishughulisha. MONUSCO/Fatou JOBE

Fuatilia sehemu ya pili na ya mwisho juu ya moja ya ukatili wa kijinsia nchini Tanzania, ikiwa ni rushwa ya ngono. Wadau wanaendelea kuzungumza.