Nyumba ya Sanaa

Mfahamu Hassan Mbangwa muongoza video za waimbaji maarufu wa muziki wa Injili Tanzania

Sauti 20:33
Muongozaji wa video maarufu za waimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Hassan Mbangwa
Muongozaji wa video maarufu za waimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Hassan Mbangwa rfikiswahili

Makala ya nyumba ya sanaa inaangazia sanaa ya utengenezaji wa video na sinema nchini Tanzania.Hassan Mbangwa alijizolea  umaarufu nchini Tanzania kupitia kazi zake alizozifanya katika video za tasnia ya muziki wa injili.