Habari RFI-Ki

Kwanini kunashuhudiwa ongezeko la wapenzi ya jinsia moja Afrika

Sauti 10:06

Makala ya habari rafiki hii leo inaangazi aongezeko la wimbi la vijana wanaojiingiza katika mapenzi ya jinsia moja barani Afrika.Tatizo ni nini?Utandawazi?Kushuka kwa maadili..wazazi kutotimiza wajibu wao?