Habari RFI-Ki

Wanaharakati nchini Tanzania wazindua kampeni ya kulinda uhuru wa kujieleza

Imechapishwa:

Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania kimezindua kampeni za kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa kukusanyika ili wananchi waweze kutambua haki zao kwa mujibu wa katiba. Kituo hicho kwa ushirikiano na jukwaa la wahariri nchini Tanzania wamezindua kampeni hiyo baada ya kubaini matatizo yanayorudisha nyuma uhuru wa kukusanyika.

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu upo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu nchini Tanzania.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu upo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu nchini Tanzania.