Nyumba ya Sanaa

Kutana na Tumainisia Shao katika sanaa ya uimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania

Sauti 19:29
Tumaini sia Shao
Tumaini sia Shao

Mbali ya kujishughulisha na uimbaji wa nyimbo za Injili ni mjasiriamali mwenye ndoto lukuki za kutimiza katika maisha yake.Leo ametembelea nyumba ya sanaa ya RFIKISWAHILI.Ambatana nasi