Changu Chako, Chako Changu
Kuhitimisha Mada juu ya Kijiji Cha Makumbusho na Muziki Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 20:39
Tunahitimisha rasmi mada juu ya Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es salaam na Muziki nchini Tanzania. Habarika, elimika na burudika kama ilivyo desturi ya kila Jumapili.