Msanii Meda Classic na ujio wake mpya

Sauti 11:50
Msanii Meda Classic
Msanii Meda Classic medaclassic

Meda, ni mwanamuziki wa Bongo Fleva ambae yupo kwenye game kwa muda mrefu, harakati zake za kutafuta njia ya kutoka zimefikia pazuri ambapo ujio wake mpya umepokelewa vema, wimbo wake Sidhani ambao amemshirikisha Timbulo unafanya vizuri kuanzia audio hadi video. Sikiliza Makala haya waweza pia kumfollow mtangazaji wako kwa instagram @billy_bilali

Matangazo ya kibiashara