Jua Haki Zako

Nafasi ya Wanawake Kwenye Uongozi Nchini Tanzania

Sauti 10:42
Wanawake nchini Burkina Faso
Wanawake nchini Burkina Faso Jean-Pierre Boussim

Leo tunatupia jicho nafasi ya wanawake kwenye uongozi nchini Tanzania. Wakili Naemy Silayo kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania anatupasha kinaga ubaga.