Habari RFI-Ki
Mgomo wa watumishi wa umma ni suluhu ya kushinikiza madai yao kutekelezwa na serikali..
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Katika makala ya habari rafiki leo wasikilizaji wanatoa maoni yao je migomo ni suluhu pekee ya kufaa kushinikiza serikali kutekeleza madai ya wafanyakazi wa umma katika mataifa ya Afrika mashariki?