Jua Haki Zako

Nafasi ya Wanawake Kwenye Uongozi Nchini Tanzania Sehemu ya Pili

Sauti 09:21
Wanawake kwenye tasnia ya sinema nchini Burkina Faso.
Wanawake kwenye tasnia ya sinema nchini Burkina Faso. RFI / Siegfried Forster

Fuatilia sehemu ya pili ya mada juu ya nafasi ya wanawake kwenye uongozi nchini Tanzania. Wakili Naemy Silayo, afisa kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anaendelea kutupasha.