Habari RFI-Ki

Ubaguzi walalamikiwa barani Afrika

Sauti 09:50
Ubaguzi wa rangi umeendelea kuripotiwa nchini Afrika kusini
Ubaguzi wa rangi umeendelea kuripotiwa nchini Afrika kusini ibtimes.co.uk

Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ubaguzi wa rangi ambayo kila mwaka huadhimishwa Machi 21 Kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein,amesema Kila mmoja anahitaji kuongeza juhudi katika kukabiliana na ubaguzi wa rangi, hotuba za chuki na uhalifu wa misingi ya kikabila.