Habari RFI-Ki

Siku ya maji duniani yaadhimishwa wakati bado ni changamoto katika baadhi ya maeneo

Sauti 10:38
Bado maji ni changamoto katika maeneo mengi duniani
Bado maji ni changamoto katika maeneo mengi duniani Flickr/Jesús Pérez Pacheco

Leo ni siku ya maji duniani,Umoja wa mataifa unasema wanawake na watoto ndio wanaokabiliwa na tatizo la maji duniani miongoni mwa mahitaji mengi muhimu ya huduma za kijamii.Wasikilizaji wana mtazamo gani kuhusu suala la maji katika maeneo yao?