Habari RFI-Ki

Raia wengi hawana uelewa juu ya Ugonjwa wa kifua kikuu

Sauti 09:38

Raia wengi wamejielewa kutokuwa na uelewa juu ya maradhi ya kifua kikuu au TB kama ilivyozoeleka.Katika siku ya kimataifa ya ugonjwa huo makala ya habari rafiki inazungumza na wasikilizaji kuhusu ugonjwa huo...