Jua Haki Zako

Maji na Mazaingira Safi na Salama

Sauti 09:06
Upatikanaji wa maji safi kwenye mkoa wa Kivu ya Kusini eneo la Idjwi nchini DRC.
Upatikanaji wa maji safi kwenye mkoa wa Kivu ya Kusini eneo la Idjwi nchini DRC. MONUSCO/Biliaminou Alao

Fuatilia ripoti ya Twaweza nchini Tanzania juu ya upatikanaji wa maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira. Ikijulikana kwamba upatikanaji wa maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira ni kati ya haki za msingi kwa binadamu yeyote yule.