Habari RFI-Ki

Wanasiasa wa DRC kuendelea kuvutana kuhusu kutekeleza mkataba wa Desemba 31 mwaka jana

Sauti 09:16
Reuters

Kwenye makala ya Habari Rafiki hii leo tunazungumzia kuhusu masikitiko yaliyoelezwa na baraza la maaskofu wa kanisa katoliki nchini DRC kuhusu wanasiasa wa nchi hiyo kuendelea kuvutana na kushindwa kutekeleza makubaliano ya Desemba 31 mwaka jana. Wasikilizaji kutoka nchi za Maziwa makuu wanaeleza mtazamo wao kuhusiana na mada hii.