Habari RFI-Ki

Mashirika ya haki za binadamu yataka Simone Bagbo kupelekwa ICC

Sauti 09:53
Simone Gbagbo akiwa mahakamani kwenye moja ya kesi yake 2016.
Simone Gbagbo akiwa mahakamani kwenye moja ya kesi yake 2016. ISSOUF SANOGO / AFP

Makala ya Habari Rafiki hii leo inaangazia kuachiwa huru kwa mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, Simone Gbagbo ambaye ameachiwa na mahakama kuu ya Abidjan, ila mashirika ya kutetea haki za binadamu yanataka apelekwe ICC, wananchi wanazungumziaje wito huu wa wanaharakati?