Sanaa na Utalii Nchini Tanzania

Sauti 20:33
Michoro iliyochorwa takriban miaka 40,000 iliyopita kwenye mapango Kondoa nchini Tanzania.
Michoro iliyochorwa takriban miaka 40,000 iliyopita kwenye mapango Kondoa nchini Tanzania.

Dkt. Kiangho Kilonzo muadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam, nchini Tanzania anatueleza kuwa sanaa ya uchoraji ilianza miaka elfu arobaini iliyopita hapa nchini na namna gani sanaa hiyo inaweza kuwa pia kivutio cha kitalii.