Upatikanaji wa Maji Nchini Tanzania

Sauti 09:11
Mradi wa maji safi na salama kutoka UNICEF barani Africa.
Mradi wa maji safi na salama kutoka UNICEF barani Africa. Photo: Unicef/Cherkaoui

Hali ya upatikanaji wa maji upo je nchini Tanzania? Fuatilia mawili matatu kutoka tafiti za TGNP Mtandao, shirika lililo mstari wa mbele kutetea haki za binadamu na usawa wa kijinsia nchini Tanzania.