Viongozi wa EAC wataka Ulaya kuiondolea vikwazo Burundi ili kusaini mkataba wa EPA

Sauti 10:46
Baadhi ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
Baadhi ya viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu jumuiya ya Afrika Mashariki kuitaka Ulaya kuiondolea vikwazo Burundi ili wasaini mkataba wa kibiashara EPA , Karibu