Upatikanaji wa Maji Nchini Tanzania Sehemu ya Pili

Sauti 09:33
Vijana wakichota maji Mafikeng, nchini Africa Kusini.
Vijana wakichota maji Mafikeng, nchini Africa Kusini. REUTERS/Sydney Seshibedi

Fuatilia sehemu ya pili ya mada juu ya upatikanaji wa maji nchini Tanzania. TGNP Mtandao, shirika nchini Tanzania iliyo mstari wa mbele kutetea usawa wa kijinsia na haki za binadamu wanatupasha kwa mara nyingine tena.