Jua Haki Zako

Upatikanaji wa maji nchini Tanzania sehemu ya mwisho

Sauti 10:16
Wakazi nchini Madagascar kwenye harakati za kupata maji safi na salama.
Wakazi nchini Madagascar kwenye harakati za kupata maji safi na salama. Laetitia Bezain / RFI

Fuatilia sehemu ya mwisho ya mada yetu, TGNP Mtandao, shirika iliyo mstari wa mbele katika kutetea usawa wa kijinsia na haki za binadamu nchini Tanzania na inahitimisha mawili matatu na suluhu juu ya tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama kwenye baadhi ya maeneo nchini Tanzania.