Jua Haki Zako

Nafasi ya Watetea Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi Sehemu ya Tatu

Sauti 10:13
Kuhesabu kura baada ya uchaguzi jijini London, nchini Uingereza.
Kuhesabu kura baada ya uchaguzi jijini London, nchini Uingereza. REUTERS/Darren Staples

Wadau wanaendelea kuzungumza juu ya nafasi ya watetea haki za binadamu barani Afrika wakati wa uchaguzi kwenye mataifa mbali mbali.