Jua Haki Zako

Haki za wasafiri

Sauti 10:04
Shughuli za usafiri  na wasafiri nchini Syria.
Shughuli za usafiri na wasafiri nchini Syria. REUTERS/Ammar Abdullah

Fuatilia mada juu ya haki za wasafiri nchini Tanzania. Mdau muhimu wa haki hizo, Francis Mugasa anafafanua kinaga ubaga.