Habari RFI-Ki

Watanzania wanatarajia yapi katika vikao vya wabunge wao vinavyoanza Dodoma?

Sauti 09:21
Bunge nchini Tanzania kuanza hivi karibuni
Bunge nchini Tanzania kuanza hivi karibuni http://michuzi-matukio.blogspot.com

Bunge la 11 nchini Tanzania linataraji kuanza vikako vyake kesho mjini Dodoma.Ungependa mambo gani yapewe kipaumbele katika mijadala bungeni?