Dazla Msanii wa kizazi kipya na ndoto za kuiwakilisha Pwani ya kenya kimataifa

Sauti 20:15
Mji wa Mombasa nchini kenya
Mji wa Mombasa nchini kenya Sandro Senn/wikimedia.org

Kutana na msanii Dazla mwenyeji wa Mombasa Pwani ya Kenya ambaye amepania kuiwakilisha kaunti yake kimataifa kupitia muziki wa kizazi kipya.