Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Afisa wa IEBC Bi Akombe ajiuzulu Kenya,je nini hatma ya kisiasa nchini kenya

Sauti 10:14
Aliyekuwa Kamishena katika Tume ya Uchaguzi nchini Kenya Roselyn Akombe
Aliyekuwa Kamishena katika Tume ya Uchaguzi nchini Kenya Roselyn Akombe https://twitter.com/search?q=Roselyn+Akombe+IEBC&ref_src=twsrc%5
Na: Martha Saranga Amini
Dakika 11

Afisa wa IEBC Roselyn Akombe ajiuzulu nafasi yake na kukimbilia Marekani akidai kusalimisha maisha yake na miongoni mwa sababu alizotaja kufikia uamuzi huo ni pamoja na kuwepo mgawanyiko miongoni mwa maafisa wa IEBC....hatua hii itaathiri vipi uchaguzi ujao Octoba 26?

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.