Habari RFI-Ki

Burundi yawa nchi ya kwanza kujiondoa kwenye Mahakama ya ICC

Sauti 07:06
Jengo la mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, ICC.
Jengo la mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, ICC. REUTERS/Jerry Lampen/File Photo

Burundi imekuwa nchi ya kwanza, kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, mwaka mmoja baada ya kuonesha nia ya kufanya hivyo. Wanaharakati wa haki za binadamu na wanasiasa wa upinzani wamelaani hatua hiyo.