Kifafa cha mimba kinachangia vifo vya wajawazito na watoto

Sauti 10:05
Jamii imetakiwa kupambana kutokomeza vifo vya watoto wachanga na wajawazito
Jamii imetakiwa kupambana kutokomeza vifo vya watoto wachanga na wajawazito AFP/File

Wataalamu wanaangazia vifo vya watoto wachanga na wajawazito vinacvyochangiwa na tatizo la kifafa cha mimba katika siku za hivi karibuni.Daktari Daniel Nkungu bingwa wa matatizo ya kina mama akiwa Dar es salaam anazungumzia tatizo hili....