Mjadala wa Wiki

Suluhu ya mvutano wa kisiasa nchini Kenya

Imechapishwa:

Mvutano wa kisiasa unaendelea kushuhudiwa nchini Kenya, baada ya kiongozi wa muungano wa upinzani  NASA Raila Odinga, kutangaza kuwa hatambui ushindi wa rais Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 26 mwezi Oktoba.Odimga alijiondoa kwenye uchaguzi huo. Nini hatima ya kisiasa nchini Kenya ? Wachambuzi wa siasa za Kimataifa na mtalaam wa masuala ya mawasiliano Ayub Mwangi na Dokta Brian Wanyama wote wakiwa nchini Kenya,  wanajaribu kutoa mwelekeo. 

Rais Uhuru Kenyatta (Kushoto) na kiongozi wa upinzani Raila Odinga (Kulia).
Rais Uhuru Kenyatta (Kushoto) na kiongozi wa upinzani Raila Odinga (Kulia). TONY KARUMBA, SIMON MAINA / AFP