Hatma ya demokrasia ya Kenya

Sauti 09:36
Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga.
Aliyekuwa mgombea mkuu wa upinzani NASA Raila Odinga. REUTERS/Thomas Mukoya

Baada ya matokeo ya marudio ya uchaguzi wa raisi kutangazwa nchini kenya na kushuhudia Uhuru Kenyata akishinda mashirika ya kiraia yakosoa zoezi la uchaguzi na kutoa wito wa kuundwa kwa serikali ya mpito kwa walau mwaka mmoja au miwili ili kuruhusu kuandaliwa upya uchaguzi nchini humo.Upinzani umetangaza kutombua ushindi wa kenyatta na kuendelea na maandamano na mgomo wa kiuchumi..