East Africa Art Biennale 2017

Sauti 21:12
Wasanii na wadau wasanii Afrika Mashariki wakati wa shughuli za East Africa Art Biennale 2017 iliyowaunganisha wasanii na wadau wa sanaa nyumbani kwa balozi wa Uswisi, mjini Dar es salaam, nchini Tanzania.
Wasanii na wadau wasanii Afrika Mashariki wakati wa shughuli za East Africa Art Biennale 2017 iliyowaunganisha wasanii na wadau wa sanaa nyumbani kwa balozi wa Uswisi, mjini Dar es salaam, nchini Tanzania. Picha na Karume Asangama, rfi-Kiswahili

Fuatilia wasanii na wadau wasanii wanasema nini kuhusu East Africa Art Biennale 2017, tukio muhimu kwa wasanii mbali mbali duniani, hususan Africa Mashariki.Kwa upande mwingine, wakazi wa Lumbumbashi musisite kutembelea taasisi ya Kifaransa kwa mambo mengi murua kufanyika Mwezi huu wa Kumi na Moja.Wakazi wa Nairobi musikose maonyesho ya sanaa, Sex and City, pale kituo cha ushirikiano wa utamaduni wa Ufaransa (Monrovia Street).

Matangazo ya kibiashara