Migomo ya madaktari itamalizwa vipi Afrika mashariki?

Sauti 09:24
Wauguzi wanaogoma nchini Kenya wakishinikiza nyongeza ya mshahara na mazingira mazuri ya kufanya kazi
Wauguzi wanaogoma nchini Kenya wakishinikiza nyongeza ya mshahara na mazingira mazuri ya kufanya kazi www.coastweek.com

Katika makala ya habari rafiki ..Mgomo wa madaktari nchini Uganda umeshuhudiwa siku yake ya pili huku mgonjwa mmoja akithibitika kupoteza maisha.Hata hivyo Mazungumzo yameshaanza kati ya viongozi wa madaktari na serikali.nini suluhu ya migomo ya madaktari katika mataifa ya Afrika mashariki?