Samata A na harakati mpya za Muziki

Sauti 11:57
Mwanamuziki Samata A ndani ya Studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam
Mwanamuziki Samata A ndani ya Studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam RFI/BILALI

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake Totoro, sikiliza makala haya kupitia radio yako pendwa rfikiswahili.

Matangazo ya kibiashara