Utamaduni na muziki

Sauti 21:19
Wasanii kutoka Rwanda wakionyesha umahiri wao wakati wa maonyesho ya ngoma za kiasili jijini Dar es salaam, nchini Tanzania.
Wasanii kutoka Rwanda wakionyesha umahiri wao wakati wa maonyesho ya ngoma za kiasili jijini Dar es salaam, nchini Tanzania. Picha na Karume Asangama, rfi-Kiswahili

Juma hili tunakuletea ngoma za kiasili kutoka Rwanda pamoja na masuala juu ya utayarishaji, uwongozaji na usambazaji wa filamu nchini Tanzania.