ICC Kuichunguza Burundi licha ya kutokuwa mwanachama

Sauti 10:18
Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC Fatou Bensouda,
Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya ICC Fatou Bensouda, ICC-CPI

Leo katika makala haya tunaangazia hatua ya mahakama ya ICC kumtaka mwendesha mashata wake mkuu Fatou Bensouda kuichunguza Burundi licha ya kwamba Burudndi si mwanachama tena wa ICC, Karibu