Serikali ya Uganda kuajiri madaktari wapya kufuatia kuendelea kwa mgomo

Sauti 09:59
Madaktari na wauguzi wakiandamana Uganda
Madaktari na wauguzi wakiandamana Uganda AFP photo

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu hatua iliyotangazwa na serikali ya Uganda ya kuanza kuajiri madaktari wapya baada ya kuendelea kwa mgomo wa madaktari wanaodai nyongeza ya mishahara na mazingira bora ya kazi. Karibu