Safari ya Maua

Sauti 20:30
Maonyesho ya wasanii wanawake nchini Tanzania, iliyoandaliwa na Nafasi Art Space, jijini Dar es salaam.
Maonyesho ya wasanii wanawake nchini Tanzania, iliyoandaliwa na Nafasi Art Space, jijini Dar es salaam. Picha na Nafasi Art Space

Ungana na wasanii wanawake kutoka Tanzania kwenye safari yao, Safari ya Maua, maonyesho ya sanaa yaliyoandaliwa na Nafasi Art Space, kituo cha sanaa, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, kituo ambacho kipo mstari wa mbele kuibua vipaji vya wasanii nchini Tanzania. Safari ya Maua inaendelea Nafasi Art Space hadi tarehe 30 Mwezi wa Kumi na Moja, 2017.