Safari ya Maua Sehemu ya Pili

Sauti 21:03
Wasanii wakiwa kazini pale Nafasi Art Space pamoja na moja ya maonyesho yao, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania.
Wasanii wakiwa kazini pale Nafasi Art Space pamoja na moja ya maonyesho yao, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania. Picha na Nafasi Art Space

Fuatilia sehemu ya pili juu ya maonyesho ya wasanii wanawake kutoka Tanzania, iliyoandaliwa na Nafasi Art Space, jijini Dar es salaam.