Uchaguzi wa marudio wakenya wagawanyika

Sauti 09:49
Wapiga kura katika eneo la Mathare kenya
Wapiga kura katika eneo la Mathare kenya REUTERS/Siegfried Modola

Wakenya wanaingia katika duru ya uchaguzi wa marudio huku kukishuhudiwa mgawanyiko miongoni mwao.Wafuasi wa upinzani wa muungano wa NASA wametakiwa kususia uchaguzi huku Mgombea wa Jubilee Uhuru Kenyatta akiwarai wananchi kujitokeza kupiga kura...