Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Nkurunziza azindua kampeni ya kuibadilisha Katiba

Sauti 10:15
Rais Pierre  Nkurunziza  katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Burundi katika miaka ya hivi karibuni
Rais Pierre Nkurunziza katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Burundi katika miaka ya hivi karibuni Onesphore Nibigira/AFP
Na: Victor Melkizedeck Abuso
Dakika 11

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amezindua kampeni ya kuibadilisha Katiba ya nchi hiyo, lenye lengo la kuongeza muda wa rais kukaaa madarakani kutoka miaka mitano hadi miaka saba. Iwapo mabadiliko hayo yatapitishwa, Nkurunziza ana nafasi ya kuwania tena uongozi wa nchi hiyo mwaka 2020 na kuongoza mihula miwili hadi 2034. Hii ni mbinu ya Nkurunziza kuendelea kukaa madarakani ?

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.