Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Kupata Taarifa Nchini Tanzania

Sauti 09:37
Wana hasasi za kiraia na wana habari kwenye picha ya pamoja Kunduchi Beach Hotel, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania.
Wana hasasi za kiraia na wana habari kwenye picha ya pamoja Kunduchi Beach Hotel, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania. Picha na Michael Mallya, LHRC

Fuatilia sehemu ya kwanza ya mada juu ya uhuru wa kujieleza na haki za kupata taarifa nchini Tanzania iliyowekwa bayana kwenye semina iliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu kwa kushirikiana na ICNL yenye makao makuu yake mjini Washington nchini Marekani.